Sera ya Kuimarisha Uwezo wa Wazawa (Local Capacity Strengthening - LCS) inaongoza maamuzi ya USAID kuhusu kwa nini na jinsi ya kuwekeza katika uwezo wa wadau kutoka katika sekta mbalimbali kulingana na kanuni zinazotokana na makubaliano ya kujitokeza katika mazingira ya maendeleo, mrejesho kutoka kwa wadau wa sekta mbalimbali na washirika, na uzoefu wa miaka ya utekelezaji na ushahidi.