Language

Utekelezaji wa afua muhimu za lishe chini ya NMNAP zinaratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu (PMO) na msaada wa kiufundi kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC). Mradi wa USAID wa Kuendeleza Lishe (Advancing Nutrition) hufanya kazi kuboresha uratibu wa lishe na ujumuishaji kupitia malengo matatu:


 Lengo 1: Kuimarisha PMO na TFNC kuwezesha ujumuishaji wa masuala ya lishe na NMNAP katika wizara mbalimbali.

Lengo 2: Kusaidia utayarishwaji wa Mpango wa pili wa Kitaifa wa Lishe (NMNAP II) na Mfumo wake wa Matokeo.


 Lengo 3: Kutoa msaada wa kitaalamu kwa