Language

Juhudi za USAID za jinsia na vijana la Tanzania hushughulikia jukumu muhimu la kuunganisha usawa wa jinsi na jinsia, uwezeshaji wa wanawake, na ujumuishaji wa vijana katika shughuli mbali mbali. Jitihada kama hizi huzingatia kuimarisha hali zinazowezesha ujumuishaji na michango ya wanawake na vijana katika kiwango cha kitaifa. Miradi yetu pia iinakuza usawa wa wanawake na ujumuishwaji wa vijana katika ngazi za serikali za mitaa na jamii, na kuhakikisha wanawake na vijana wa Kitanzania wanakuwa na afya, elimu bora, na uzalishaji zaidi.