Language

Mradi wa Tushiriki Pamoja unalenga kuimarisha na kusaidia jamii, hasa wanawake, vijana, na watu wanaoishi na  ulemavu, kushiriki,  na kukuza michakato ya kisiasa ya uwajibikaji na iliyo jumuishi; uangalizi wa uchaguzi wenye ufanisi; mifumo ya kisiasa jumuishi na shindani; uwazi mkubwa katika uandaaji na usimamiaji wa chaguzi.