Language

SERA BORA unafanya kazi ili kuharakisha upitishaji wa sera na programu madhubuti nchini Tanzania ili kukuza ukuaji wa sekta ya kilimo, kuboresha usalama wa chakula na lishe ya kaya, na kupunguza umaskini.

Mradi wa SERA BORA unatekelezwa katika maeneo matatu:

  1. Utafiti wa Sera na Takwimu
  2. Marekebisho ya Sera na Udhibiti; na
  3. Kuimarisha Usanifu wa Kitaasisi na Uwezo wa Sera.