Maji na Usafi wa Mazingira

Speeches Shim

Mradi wa USAID/ Maji na Usafi wa Mazingira (MUM) unaofadhiriwa na Serikali ya Watu wa Marakeni, utafanya kazi kwa ushirikiano wa karibu na taasisi za umma, sekta binafsi pamoja na wananchi, na wadau mbalimbali katika ngazi ya taifa, mkoa na wilaya kuboresha mifumo inayotumika katika kupanga, kugharamia na kutekeleza shughuli mbalimbali zinazolenga kuboresha usimamizi wa rasilimali za maji na kupanua na kurahisisha upatikanaji wa huduma za maji na usafi wa mwili pamoja na mazingira. 

Issuing Country 
Date 
23-06-2022 09:30

Last updated: June 23, 2022