Mradi huu wa miaka mitano wa USAID Feed the Future Tanzania Inua Vijana unaunganisha vijana wenye umri wa miaka 15-35, katika mikoa ya Iringa, Mbeya na Zanzibar na kuwapatia mafunzo mbalimbali ikiwemo mafunzo ya ujasiliamali, ujuzi wa kiufundi, mafunzo ya uongozi, na stadi za maisha na kuwaunganisha vijana kwenye fursa za ajira. Mradi unalenga kuongeza fursa mbali mbali za mapato ikilenga kuwafikia vijana 25,000 kwa kuongeza uwezo wao wa kujiajiri, kuajiriwa, ujuzi wa kuwa viongozi bora, na ushiriki wao katika shughuli za kijamii.
Last updated: June 22, 2022
Comment
Make a general inquiry or suggest an improvement.