Language

Sekta ya kilimo ya Tanzania - ambayo inachangia karibu theluthi ya Pato la Taifa la nchi na kuajiri asilimia 75 ya idadi ya watu - ina fursa ya kuongeza mapato na kuboresha maisha. Mpango wa Upatikanaji wa Chakula wa Serikali ya Marekani (Feed the Future) unasaidia mipango inayoongozwa na Tanzania, kupunguza umaskini na kuboresha lishe.